Stop Ebola Song Lyrics - Swahili - English

by
DAVID DUBE & PEACE FIGHTERS INTERNATIONAL
(translation from Swahili to English by Katharina Kopp)

STOP EBOLA

habari habari habari habari
How are you? What’s up? Any news?
ina hatarisha maisha
There is danger for life!
ina ambukiza ina mwanga chozi la kuchukiza
It is contagious and it brings tears of suffering to our country.
pamoja tunaweza kuimaliza iyo virus inayo tutatiza
Together we can eliminate the virus that will infect us.
ina niuma sana napo ona napo sikiya ndugu zangu waki kufa
I feel a lot of bitterness when I see my brothers and sisters here are dying.
tupiganishe sotepamoja kumaliza iyo virus virus
Let’s fight all together to finish that virus virus.
kabla bado haija tumaliza sisi tunaweza kuikimbiza
Before it kills all of us, we must mobilize and put an end to the suffering.
mimi wewe yule tukiungana tunaweza kuimaliza
I, you, that person, when we stand together we can finish it
mtu yoyote akikamatika naiyo virus ya Ebola
Any person who is infected with Ebola virus,
mupeleke kwa kituo kinacho usika na virus vya Ebola
take him/her to an Ebola treatment center.
Ebola Ebola stop stop Ebola
Ebola Ebola stop stop Ebola

habari iliponifkiya nika shindwa kuliya
When I got the news I was so shocked that I even failed to cry
nika amuwa waimbiya
so I decided to sing a song instead.
si unaona tatizo iliyo tupata watu wamekufa kila kona
I said: don't you see the problem? Look, people are dying around every corner.
wosha mikono na maji safi na sabuni kabla yakugusa kitu chochote
Wash your hands with clean water and soap before touching anything,
kabla ya kukula kupiga
before eating, before cooking
wosha mikono baada yakutembeleya chooni
wash your hands after visiting the toilet,
kugusa wanyama kugusa chochote kichafu
after touching animals, after touching anything dirty,
wosha mikono yako
wash your hands!
mupeleke kwa kituo kinasho usika na virus vya Ebola
Submission to the Ebola treatment center means you can get cured of the Ebola virus.
Ebola Ebola stop stop Ebola
Ebola Ebola stop stop Ebola

Epuka mawasiliyano ama kugusa mwili
Avoid contact or touching the body
ya mugonjwa wa virus vya Ebola
of somebody who came down with Ebola virus disease,
mtu yoyote akikamatika naiyo virus ya Ebola
of anybody who is still sick from Ebola virus disease.
inasababisha kishwa kuuma kuhara kutapika na kizunguzungu
It leads to diarrhea, vomiting, and dizziness,
kutoka damu fasi zote Ebola Ebola virus
from the entire blood full of Ebola virus.
mupeleke kwakituo kinasho usika na virus vya Ebola
A contact person (of a sick person) receives a vaccine against the Ebola virus.
Ebola Ebola stop stop Ebola kwa jamii yangu
Ebola Ebola stop stop Ebola in my community.
Ebola Ebola stop stop Ebola kwa faida yetu
Ebola Ebola stop stop Ebola for our benefits.
Ebola Ebola stop stop Ebola kwa watu wote
Ebola Ebola stop stop Ebola for all people.
Ebola Ebola stop stop Ebola for my community
Ebola Ebola stop stop Ebola everywhere
Ebola Ebola stop stop Ebola kwa jamii yangu
Ebola Ebola stop stop Ebola for my community.
Ebola Ebola stop stop Ebola kwa watu wote
Ebola Ebola stop stop Ebola for all people.
Ebola Ebola stop stop Ebola every day
Ebola Ebola stop stop Ebola